Wazee wamelose hope, nao watoi wanarun from home juu ya kukosa tumaini…
Daily the butcher from Sugoi ana work overtime kumake sure ako ahead kila siku, while butcher wa Dago analia customer wananunua matumbo wanamwachia mwili a head home kila siku.
We’ve been bitten once tukakuwa shy, out of naivety tukachagua watu hawana class… wasee ata hawakuenda past class six thinking they can lead us.
Enyewe sisi ndo wajinga
Kama siafu tukaelect hawa mapest..ona sasa wametake over shamba mzima and now we have nothing to harvest
Tuliwapea power to the extent wanataka kututax even the rainwater we harvest.
Ni wanyama, na they are hungry for more power
Ni mafisi na hawataki kuona ata ngiri imelala
Ni maparasite, wanainvent tricks za kutunyonya damu time and again and it sucks.
It sucks juu wealth tuko nayo ni scarce.
Na hizi ndo facts, hauneed kuenda kibera ndo uexperience life ya ki-slum.
Msoto imekuwa religion, iko kila mahali, ata ule msee unadhani ako fat nje utapata ni mu-slim ndani..
In a country full of riches, majority bado wanastruggle kumeet their basic needs.
Ni clear, they don’t care about us wanatumada like were mere ants.
Na inauma!
It hurts juu wamekwama na change yetu na tukitry kudemand watutreat fair, tunarushwa kwa subaru ama hearse.
It hurts juu in addition to stealing our money wametunyima peace, sahii tunaishi bila amani
Twice bitten but this time hatuko shy
For the time has come and the people SHALL!
Na every man is key, kwa sisi ndo ufunuo wa nchi, the real shujaaz.
Sisi ndo the true hustlers… wakenya daima.
The power lies in us, ya kusema no kenyan has to die-man.
Enough is enough, hatutaki ku-leadiwa tena na mapuppets mahn
For yes We the people CAN. Kwa pamoja tuki-cast our nets tutapull both the big fish na the smaller fish out of the government.
The time is now
Time ni yetu ya kuRise up nakuWise up, ndo this time tusimess up
Tell a tell friend to tell a friend that hii gava is not our friend.
Na in all we do tukumbuke kutosahau.
Kenya ni home na home ni Kenya