Evangelist of the truth na ningekuwa bunge
Nay sayers wangesema I am a liar
Gava imegeuka ya mapimp
Extortionists hawaachi ata tule fare!
Tell me, is this fair?
Gava ya nusu mkate lakini wao ndo wanakula the bigger share?
Tulidhani tumechagua hustler wa blue collar
Kumbe kwa true collar inaoneshana yeye ni white
Aliwin trust ya mama mboga na promise za kureward kura yake with ripe fruits
Kumbe it was all bogus
Tumegeuzwa hopeless destitutes,
Mau Mau nayo imebaki kuwa hekaya tu
Not yet uhuru, blood, sweat and tears of the many
Zinazidi kujenga the few zao empires
System imekuwa ya majambazi
Karao kwa streets wanageuzana
Ma – corpse na kwa kanisa kumejaa hyprocrites na ma -liars