Alikuja na heko
Vigelegele!!
Alikuja na maombi
Na Shukran!!
Masalale!!
Muda hukupita!
Kicheko kikawa kilio
Mazao yakawa Maziishi!!
Lakini,
Kuomba, twaomba!
Vitisho, twa-amkia!
Matanga, twa-enda!
Ilhali, maabadiliko imefika!
Alikuja na heko
Vigelegele!!
Alikuja na maombi
Na Shukran!!
Masalale!!
Muda hukupita!
Kicheko kikawa kilio
Mazao yakawa Maziishi!!
Lakini,
Kuomba, twaomba!
Vitisho, twa-amkia!
Matanga, twa-enda!
Ilhali, maabadiliko imefika!
Sign in to your account